DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 84
- 118
Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu?
Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini
----------------
Baadhi ya wapanda Mlima Kilimanjaro wameeleza kuwa Moto huo umezuka tena upya baada ya jaribio la awali la kuzima moto.
Wapanda Mlima hao wamesema kuwa Msaada unahitajika Zaidi katika kufanikisha kuzima moto huo.
Chanzo cha habari: Dira ya maishaa
Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini
----------------
Picha ya moto uliozuka tena upya Ndani ya Mlima Kilimanjaro |