Moto wateketeza soko la Gikomba Nairobi

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mali ya thamani ya mamilioni ya pesa imeteketea baada ya moto kuzuka katika soko kuu la wazi nchini kenya, soko la Gikomba jijini Nairobi.
Soko la Gikomba ni miongoni mwa masoko makubwa zaidi Afrika Mashariki.
Chanzo cha moto huo bado hakijabainika




A huge fire has reduced Nairobi Gikomba open air market to ashes. The Friday morning inferno destroyed property worth millions but efforts are ongoing by the Nairobi City Council (NCC) fire team to contain the situation.

No casualties have been reported at the popular flea market The cause of fire is still unknown.

The incident has displaced many traders from one of the biggest open air markets in the region. In 2015, an estimated 10,000 traders lost goods worth millions of shillings after an early morning fire burnt hundreds sheds and a Family Bank branch. Some of the traders managed to save part of their stock, but a huge part of stored wares was destroyd Firemen try to control the blaze at Gikomba market

Source: Standard Media
 


Sishangai Mbowe na Lema si wako Nairobi, hawa jamaa ni Uovu tu!
 
Sishangai Mbowe na Lema si wako Nairobi, hawa jamaa ni Uovu tu!
Wewe binti sasa unarukwa! Lema si ameongea na waandishi leo hapa Dar es Salaam. Hebu punguza kuropoka kila wakti na chuki zisizo na msingi na CHADEMA na viongozi wake. Wamekufanya nini hasa? Pathetic!
 
Hii taarifa mbaya kwa wafanyabiashara wa kibongo waliokuwa wanaenda Naii kujumua mitumba kule Gikombaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…