Moto wazuka katika kinu cha Nuclear cha Ukraine

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi.
Urusi ina historia mbaya zaidi ya ajali ya nuclear duniani iliyotokea Chernobyl mwaka 1986,

 
Mnavamiwa mpaka na maeneo nyeti kama bomu vya nyuklia vinachukuliwa huku washiriks wao NATO wanaona halafu bado kweli Ukraone anaendelea na vita, bora tu jeshi tu Zelensky akubali yaishe Aachie hayo majimbo 4 wale ambao hawatapenda kuwa sehemu ya Russia wahamie Ukraine kama iliyotokea milima ya Golan kuna waarabu walienda upande wa Syria na wengine upande wa Israel na maisha yanaendelea. Kwa mwenendo wa vita Ukraine hawezi kushinda, NATO wanataka uchumi wa Russia irudi nyuma lakini siyo kushinda vita
 
Duuuh! Unashangaza
 
Killed em all!
 
Ukraine nawao wakachukue kinu cha nyuklia kilichopo pale KURSK

Ili wabalance majambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…