Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
Kama vile ulikuwepo kichwani mwangu.
Kama kuna ulazima wa kuuza ipunguze bei,ukitaka kuthibitisha ninachokwambia pita kwenye maduka ya motor used
au motor mpya za kichina,wengi wanaoanza biashara wanaanza na motor hizo kwani zina unafuu wa bei.
Nakushauri mleta mada uza kwa 1m tu.
Usitake kumalizia matatizo yako yote kwenye hiyo mota utakaa nayo sana,si umeona mwenyewe ni used,jiulize imefyatua tofali ngapi na umepata pesa kiasi gani?