Motor inauzwa

Motor inauzwa

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Habari. Motor inauzwa iko ktk halo nzuri imerumika kwa muds was mirzi 3 tu. Being no sh 450000. Iko makongo juu ukitaka kuiona. Namba Yang ni 0758 308193. Picha ntaweka soon.
 
akifika nyumbani ata edit,ila nimemuelewa
nasubiria picha
 
Nilikosea bei. bei ni 200,000. Ni ya horsepower 5 na ni ya 3 phase ila ina capacitor inayoiwezesha kufnya kazi kwenye single phase

IMG_20140326_130717.jpg IMG_20140326_130653.jpg
 
Nilikosea bei. bei ni 200,000. Ni ya horsepower 5 na ni ya 3 phase ila ina capacitor inayoiwezesha kufnya kazi kwenye single phase

View attachment 148504 View attachment 148505

hiyo mota sio kwa ajili ya three phase! kwa kufungwa capacitor maana yake ni kwamba hiyo ni sigle phase motor! japo kuna ujanja wa kuiunga na ikatumia 3phase lakini efficience hupungua sana! sahihi ni single ndo maana kuna capacitor mbili(starting and running)
 
Umeuza tayari? Kama bado tuongee biashara kwenda chini hadi laki na nusu
 
unapatikana makongo juu sehemu gani?
 
Back
Top Bottom