Motor Insurance Tanzania

Motor Insurance Tanzania

Kidatu

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2008
Posts
1,567
Reaction score
334
Ndugu zangu nataka kuweka Insurance kwenye mashine zangu za kilimo i.e Tractors. Ni kampuni gani nzuri kwa biashara kama hiyo?
 
Mcheck huyo jamaa. Atakusaidia yupo na Jubilee. Wanatoa customer care nzuri sana.0755909999
IMG-20230906-WA0007.jpg
 
Ndugu zangu nataka kuweka Insurance kwenye mashine zangu za kilimo i.e Tractors. Ni kampuni gani nzuri kwa biashara kama hiyo?
Nenda ZIC, au Zanzibar insurance wana bima aina mpya ya misingi ya Kiislam, bofya chini hapo ujisomee:

Back
Top Bottom