Motor Road Licence:Wadau,Nifanyeje?

Mbona upo salama, hapo ata wangekua hawafuta wewe kama inaisha june13 basi una mwezi mzima yaani kati ya june13 mpaka july13 ndio time period yako ya msamaha na kufanya malipo hapobata traffic akikusimamisha hakuchaji chochote zaidi ya kukumbusha tu ila kuanzia july14 ndio ungepigwa faini tra. Kwakua mpaka july mosi utakua bado upo katika kipindi salama sasa hauna haja ya kuogopa kuenda gari yako wala hauna aja ya kulipa..kula bata tu bana
 
Kwanza ikiisha kuna mwezi mzima wakusikilizia,we kausha usilipe hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…