Motor vehicle licence

JituParaTupu

Member
Joined
Nov 20, 2008
Posts
92
Reaction score
9
Salaam wakuu,

Gari yangu ilipata ajali wiki iliyopita ikiwa na valid insuarance na MVL. Naomba nielimishwe kama kuna utaratibu wowote ule unaoweza kufanyika ili MVL ya gari hiyo isogezwe mbele mpaka hapo itakapotengemaa. Yaani kwa kipindi hiki ambacho gari haitembei basi na muda wa MVL kwisha (Expire date) nao usogezwe.
Nawasilisha na kutanguliza shukrani.
Asanteni.
 
nenda tra katoe taarifa watakupa taratibu zao, ukifata unasimamisha hawana shida. Kwan upo mkoa gan ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…