Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Habari za muda huu wanajamii kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninampango wa kulipia 470,000 kwa simu aina ya Motorola G84 yenye ram12 na rom 256 6.5 inches je kwa bei hiyo ni sahihi au nimepigwa kidogo wakuu simu inayo ya kulipia kwa muda wa miezi 12 yani mwaka mmoja kila mwezi kuna kiasi unatakiwa kulipia Simu ni from Dubai
Ushauri wenu kwa wajuvi ww smartphone kabla sijaruhusu simu kuchukuliwa
Ushauri wenu kwa wajuvi ww smartphone kabla sijaruhusu simu kuchukuliwa