Ndio nilikuwa na mpango niichukue kwa ajili ya kuinstall efootballSimu siyo mbaya kwa budget iyo, sema kama mtu wa magemu itakusumbua kidogo
Kioo ni oled sio kibaya pia ina 30w charge
View attachment 3258438
wako wapi hao mkuu nione kama naweza pata na mimi unaweza nipa contact zao.Ndio ni kama hivyo course unaipewa then unakuwa hela unalipa kila mwezi for a year