Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062

Motorola Moto X30 Pro​

Camera 200 MP
Selfie camera 60 MP
Screen 6.7"
Fast charger 0-100$ 19 minutes
Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
 
Hizo ni specs tu, zinaweza zisiwe kweli kwenye performance.
 
Motorola Moto X30 Pro​

Camera 200 MP
Selfie camera 60 MP
Screen 6.7"
Fast charger 0-100$ 19 minutes
Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
Kamilika mkuu lete mwonekano
 
Attachments

  • motorola-moto-x30-pro.jpg
    motorola-moto-x30-pro.jpg
    5.8 KB · Views: 18

Motorola Moto X30 Pro​

Camera 200 MP
Selfie camera 60 MP
Screen 6.7"
Fast charger 0-100$ 19 minutes
Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
Motorola ni simu kali sana sielewi kwa nini hapa Bongo zipo chache ilihali bei zake ni nafuu sana. Nimeiona hiyo simu. Kweli hapa Mmarekani kafanya kazi
Samsung ya kwanza kuja na 200MP itakuwa ni Samsung Galaxy S23 Ultra
 
Hio sensor ni ya Samsung wanafanyiwa tu kama Panya wa maabara waojaribu. Na Motorola ya sasa ni Mchina aka Lenovo.
 
Back
Top Bottom