Motsepe analibeba soka la Afrika Kusini mabegani mwake

Mi naona Mgunda angepewa Taifa Stars kuliko kuingia gharama za kuleta makocha wa nje,tatizo hatuthamini wazawa, Mgunda na uwezo wake bado hata Simba imempa timu ya wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wenyewe hawamuamini kule Simba Queens hakuna changamoto kama NBC pia kule ni msasidizi kocha mkuu ni Mgosi
 
nakupinga mkuu tunazidiana kidogo sana ukiitoa mamelody nitajie timu nyingine yenye maajabu hapo south
Orlando na Kaizer, usisahau mwaka jana Marumo pamoja na kua wanashuka daraja walifika nusu fainali CCC kitu ambacho hapa bongo hakuna timu imewahi kufanya hivyo
 
Wakati Nyinyi hapa nyumbani mna hangaika na kanuni mlizo jitungia wenyewe kwa utashi wenu ili Simba ikacheze Zanzibar na mpaka Leo FA Ina kigugumizi ku tamka.
Mtashindana na wenzenu ambao Wana structure nzuri ya uongozi na Kuna mamilioni ya Rand yamewekezwa kwenye soka lao!!
 
Wewe pia humthamini huyo mzawa Mgunda. Kwamba makocha wa nje tunaingia gharama hivyo Mgunda yeye ni rahisi, hana thamani ya kuingia gharama akipewa Stars.
Alipwe kama ambavyo wangelipwa makocha wageni,we ukiangalia Mgunda amezidiwa nini na Amroche

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubora wa PSL ni mkubwa kushinda NBC
 
HUKU BONGO MO NDIO ANAZIDI KUIZIKA SIMBA NA STARS.

Baada ya Miaka mitatu hakuna Mchezaji wa simba Atakayeweza kuanza Taifa stars.

TUNA WAKATI MGUMU MNO NA AFCON 2027
 
kukalili ndio nini?
 
Upo sahihi Ila ligi ya afrika kusini imeipita ligi ya nbc kwa mbali sana kwa kila idara ufundi , management , sponsor nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…