tuliposoma physics kule form 1 walisemahallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee fan-belt,na hiyo fan belt izungushe a bigger dynamo,because ile dynamo itaform umeme,ule umeme wake niugawanye urudi kwenye zile battety za motor ili kuongeza charge,na surplus yake niitumie kwa matumizi yangu binafsi,,,,je hii itafaa kweli?nahitaji maoni yenu kwani ni muhimu sana kwangu,,,,,,ahsanteni
dawa ya muuaji na weye uwe muuwaji kuliko yeye. wachakachue tu.wazee,tupeane ma-idea ya kupata cheap energy maana tanesco wanatuua,2nafanya kazi 15 days per month sababu ya mgao wao,na bado we cant mek the ends meet
tuliposoma physics kule form 1 walisema
IN A CLOSED SYSTEM, ENERGY CAN NEITHER BE CREATED NOR DESTROYED
Nimeipenda topic hii, nimekuwa nikijaribu njia mbali mbali za kupata energy nje ya Taa Nesco. Mwaka jana nilianza kutengeneza biogas kutokana na organic matters( eg animal excretion from cattle,chicken,pig etc) na kuitumia kwa kupikia, kuwasha taa na kuendesha Biogas generator inayotoa 100kW. Kama watanzania tukianza na mpango kama huu nategemea torture tunayoipata kutokana na mgao itapungua sana. Uzoefu unaonyesha asilimia kubwa ya watanzania wanatumia umeme kwa ajili ya taa, pasi na kupikia kidogo ambapo biogas itamudu kabisa, zaidi ya hapo biogas inatunza mazingira badala ya sasa tunachoma mikaa na kuangamiza misitu iliyotunzwa na babu zetu.
watanzania tulivyo ma chekibob tuavyoogopa kinyesi mhhhh. Tena nadhani execretion product ya binadamu inaweza kutoa energy zaidi hata ile ng'ombe Maana niliwai ona alitumbukia wenye shimo mguuu ulitoka umeungua.
Je mtaalam
kenya nasikia kuna maeneo nynya mav*** ikijaa w kuchua mzigo wao ndio wanalipa kulingana na ujazo. vice versa na bongo
- kuna njia ya kufanya kinyesi cha binadamu kiwe harufu friendly? ili kitumike bila kinyaa.
- Au nini tufanye binadamu tuone kinyesi chetu kama tunavyoona cha ng'ombe
teh teh teh
Mkuu Paje, this is a statement of 'Shirk', think about it.
Mkuu that is impossible hapo utakuwa unataka kutengeneze perpetual machine (yaani mashine ambayo ikiwashwa haiwezi kuzimika) its impossible to input less energy ili upate energy kubwa (the energy difference must come from somewhere) There are is no such thing as free lunch am afraid na wewe sio wa kwanza kufikiria hivi angalia hapa The Museum of Unworkable Deviceshallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee fan-belt,na hiyo fan belt izungushe a bigger dynamo,because ile dynamo itaform umeme,ule umeme wake niugawanye urudi kwenye zile battety za motor ili kuongeza charge,na surplus yake niitumie kwa matumizi yangu binafsi,,,,je hii itafaa kweli?nahitaji maoni yenu kwani ni muhimu sana kwangu,,,,,,ahsanteni
nimefikiria mpaka basi , sijaona, please nioneshe njia. maana walivyotufutisha ujinga sisi walitwambia kuwa:
Shirk means associating a partner with God. au kwa kikwetu ni ANTAJAL li ILAHI NIDDA FY ULUHIYATIHY
na kwa kishirazi ni : kumfanyia Mungu mshirika katika uungu wake. nayo imegawika sehemu tatu katika dhati yake, sifa zake au majina yake. hawajatufundisha zaidi ya hiyo
hallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee fan-belt,na hiyo fan belt izungushe a bigger dynamo,because ile dynamo itaform umeme,ule umeme wake niugawanye urudi kwenye zile battety za motor ili kuongeza charge,na surplus yake niitumie kwa matumizi yangu binafsi,,,,je hii itafaa kweli?nahitaji maoni yenu kwani ni muhimu sana kwangu,,,,,,ahsanteni
Wakuu,chonde,chonde naombeni mnisaidie kwenye hili suala la umeme wa kinyesi cha binadamu.Kwani nimewahi kusikia watu mtaani wanasema huo umeme unawezekana kwa 100% ila tatizo serikali inakataa!