L langtan Member Joined Aug 31, 2011 Posts 35 Reaction score 5 Sep 6, 2015 #1 Mbio za Mount Meru Half Marathon zitafanyika Arusha tarehe 27 September 2015 kuanzia The Arusha Hotel na kuishia Sheikh Amri Abeid Stadium. Kwa maelezo zaidi piga 0757555777, pia tunatafuta wadhamini na shareholders! Attachments 20150906_134207.jpg 485.4 KB · Views: 52
Mbio za Mount Meru Half Marathon zitafanyika Arusha tarehe 27 September 2015 kuanzia The Arusha Hotel na kuishia Sheikh Amri Abeid Stadium. Kwa maelezo zaidi piga 0757555777, pia tunatafuta wadhamini na shareholders!
akajasembamba JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 1,179 Reaction score 1,794 Sep 8, 2015 #2 hongereni kwa kufufua mount meru marathon ilikuwa jambo la kusikitisha ilivyokufa wenzetu wana marathon hadi 10,000 kwa mwaka . Arusha jiji tutakuja tu wadhamini watajileta tu wakiisoma namba
hongereni kwa kufufua mount meru marathon ilikuwa jambo la kusikitisha ilivyokufa wenzetu wana marathon hadi 10,000 kwa mwaka . Arusha jiji tutakuja tu wadhamini watajileta tu wakiisoma namba