Acheni unafki mm binafsi nimesoma mount meru diploma tena main campus ngaramtoni chuo kiukwel kipo fiti msuli wa wastani tu mazingira ya kawaida saana usije tegemea kukuta mahli pazuri au pama kuu ni pakawaida saana. Shida ipo kwenye accomodation kwa kwel hapo sikupi uwakika kabisa kama umepangwa huko anza kusaka chumba nje ya campus mapema chuo kina accomodate watu wachache mno an especially toka nje ya nchi sudan kenya ethiopia na uganda wanapewa priority ya kwanza. Thn Dar tanga mwanza arusha moshi sahau accomodation in campus.