michie Member Joined Dec 5, 2015 Posts 52 Reaction score 46 Jan 7, 2016 #1 Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji?
Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji?
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,001 Reaction score 6,194 Jan 7, 2016 #2 Wewe endelea kupiga puchu na kula chipsi yai za mafuta ya transformer usingizie Mountain Dew.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,357 Jan 7, 2016 #3 michie said: Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji? Click to expand... Hakuna uhusiano wowote isipokuwa soda zote zina athari katika mwili, athari si nguvu za kiume tu kama unavofikilia maana vijana wa siku hizi mnawazaga ngono asubuhi mpaka usiku na mnaamka mnawaza ngono
michie said: Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji? Click to expand... Hakuna uhusiano wowote isipokuwa soda zote zina athari katika mwili, athari si nguvu za kiume tu kama unavofikilia maana vijana wa siku hizi mnawazaga ngono asubuhi mpaka usiku na mnaamka mnawaza ngono