MOURINHO ADAI HAMJUI SARRI KOCHA WA CHELSEA.HII KALI SANA

MOURINHO ADAI HAMJUI SARRI KOCHA WA CHELSEA.HII KALI SANA

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Au ni dharau zake ?we ngoja siku tarehe 20 sept litimu lake likitua darajani ndo atamtambuaa
 
Mourinho si kichaa,,,

Tarehe 20 atamjua mze wa fegi vizuri
 
Hizi bangi hamjui kweli sasa wewe una uhakika anamjua?
 
Mpuuzi huyo msimamizi wa mazoezi...akipigwa chini ya 3 kashinda yeye
 
yaweza kuwa kweli hamjui maana mimi nikiona neno kumjua nakumbuka meneno ya kwenye biblia '' na Adam akamjua Hawa mkewe nao wakapata mtoto wa kiume'' sasa Mo atakuwa hamjui Sari 😛😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom