Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Taarifa zinaeleza kuwa wawakilishi wa Jose Mourinho na wale wa Klabu ya Tottenham wamekuwa kwenye mazungumzo kuhusi jambo hilo
Wanatarajiwa kufikia makubaliano yatakayomfanya Jose Mourinho awe licha mpya wa Tottenham mchana wa siku ya leo
Mauricio Pochettino amefukuzwa kazi kunako Klabu ya Tottenham kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza
Mourinho amekuwa nje ya kazi ya kufundisha soka tangu alipotimuliwa na Klabu ya Manchester United mwezi Desemba 2018
======
Jose Mourinho is understood to be a serious contender for the Tottenham job
Tottenham are in talks with Jose Mourinho to replace the sacked Mauricio Pochettino and both sides believe a deal is close.
Talks continued into Tuesday night, while both sides believe a deal is close and will be concluded by Wednesday. His first game would be at West Ham on Saturday lunchtime.
Mourinho has been out of work since being sacked by Manchester United in December last year
Source: Sky Sports