Mourinho amwambia Pogba wewe ni Virus

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kitendo Cha Manchester United kuendelea kufanya vibaya kumemfanya kocha Jose Mourinho kumuangushia jumba bovu mchezaji wake Paul Pogba. Mara baada ya kutoka sare weekend iliopita. Kocha Mourinho alimuita Pogba mbele ya wachezaji wa zake na kumwambia
" Wewe ni Kama mtu mwenye mafua ndani ya chumba kilichofungwa unasambaza virus kwa wengine, hueshimu wachezaji wenzako Wala mashabiki na unawaangusha watu wazuri waliokuzunguka". Ikiripotiwa na gazeti la telegraph
Mourinho anaamini Pogba ndio kiongozi wa kundi la wachezaji wanaotaka afukuzwa klabuni hapo.
Uhusiano wa Mourinho na Pogba umekuwa ukizorota siku za hivi karibuni
 
Kama hukuangalia mechi ile utaongea tuu kuhusu mou... Ila kiukweli pogba ile mechi alizingua sana.. Nendeni mkacheki clip
 
Huku Pogba na kule Lukaku! Yaani raha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…