Sasa vile vinywaji vimekosea nini hadi havibamize chini?
Kanichekesha sana. Kwanza kapiga buti kreti ya kwanza ya vinywaji halafu akainua kreti ya pili nakuibamiza chini in a wild celebration baada ya fellaini kufunga goli dakika za majeruhi na kuiwezesha mani kufuzu last 16 kwenye champions league.