pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Zikiwa zimepita siku mbili tangu kumalizika kwa kombe la dunia nchini Qatar baada ya team ya taifa ya Argentina kutwaa ubingwa huo mbele ya team ya taifa ya ufaransa kwenye mikwaju ya penalty.
Baada ya wachezaji wa France national team kukosa penalty hasa wenye asili ya afrika akiwemo aurelien tchoumeni na Kingsley coman wenye asili ya afrika baadhi ya mashabiki wa ufaransa wamechukizwa na kitendo hicho,
na wengine kutoa maneno na comment za kibaguzi kwa wachezaji hao baada ya ufaransa kukosa ubingwa wakati huo team ya Bayern's Munich anayochezea Kingsley coman kupinga vikali kitendo hicho cha baadhi ya mashabiki kuwakejeli wachezaji hao.
Ikumbukwe hata wachezaji wa team ya taifa ya ENGLAND waliwahi kukutana na kitendo hicho baada ya kukosa penalty kwenye euro 2020 dhidi ya Italy walengwa wakiwa Marcus rashford, jadon sancho na bukayo saka baada ya kukosa penalty ila ni juzi tu harry kane amekosa penalty muhimu sio chombo cha habari wala shabiki aliyekejeli au kumsema vibaya mchezaji huyo alipokosa penalty hiyo muhimu.
Wakati hayo yanatokea Mourinho alishawahi kusema " anataka FIFA iweke sheria itakayozuia wachezaji wenye asili ya afrika kuwakilisha mataifa ambayo sio asili yao".
anaamini kufanya hivyo itasaidia nchi za Africa kutoa ushindani kwenye world cup kama walivyofanya MORROCO nchini Qatar ikiwa na wachezaji 8 weliozaliwa nje ya Morocco na watatu tu kwenye kikosi chao cha kwanza katika team yao ya taifa.
Mourinho anaamini Africa kuna wachezaji bora kuliko hata ulaya ndio maana kwenye team yake yoyote anayofundisha striker lazima awe na asili ya afrika kuanzia alipokuwa Chelsea mpaka alipo sasa anaamini bila kuwa na mshambuliaji mwenye asili ya afrika hawezi fanikiwa, anaamini wachezaji wenye asili ya kiafrika wanapowakilisha team nyingine tofauti na asili yao inawanyima Africa nafasi ya kuchukua world cup kama tunavyoona kwa France ambao team yao 90% ni wachezaji wenye asili ya kutoka Africa.
Mfano mzuri tumeona kwa MORROCO na mfano wa France ambao ni mabingwa waliopita kwa yanayoendelea kwa wachezaji wenye asili ya afrika kubaguliwa na kubebeshwa lawama pindi team inapofanya vibaya Mourinho alikuwa sahihi kwenye kauli yake aliyoitoa siku za karibuni ila nani atamfunga paka kengele.
NB: 90% Ya wachezaji wa MORROCO wametoka ulaya kuja kucheza Morocco na 90% ya wachezaji wa France wanatoka Africa hence vice versa is true.