Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Daah!! Huu uzi ni wa kitambo sana. Yaani kichekesho
Kwani mourinho wa Brazil???Kuna shabiki wa brazilian players humu hivyo usishangae. Kila nyuzi za kitambo anafufua alafu zote zinawahusu wachezaji wa brazil.sijui wamemfanyia kazi gani. Jaribu kuchunguza utaliona hilo. BRITANICCA
Kwani mourinho wa Brazil???