Na huyu wa Barca je?Mbona unasema Mourinho tu kwanini sio ole gune au Ateta, mbona wanashindwa.
Barca haina nyota tena wako kwenye transitional ya barca bila MesiNa huyu wa Barca je?
Hasira za mkeka hizi aseee[emoji23][emoji23]
Dah jana Mourinho na Espirito Santo walichotufanyia sio poa.Hasira za mkeka hizi aseeeππ
Hao uliowataja hawakuwa na uzoefu kwenye ukocha hivyo wapewe muda watafanya makubwa tu. Ole sio kocha aliyeshindwa mkuu, msimu ulioisha Manchester United wamekuwa washindi wa pili kwenye Europa league na pia amekuwa nafasi ya pili kwenye ligi kuu uingereza. Msimu huu kafanya comeback mbili matata sana vs vilareal na vs Atalanta. Ni basi imetokea watu wa Manchester United kutomkubale OleMbona unasema Mourinho tu kwanini sio ole gune au Ateta, mbona wanashindwa.
Kweli asee mou kachana mikeka sana janaDah jana Mourinho na Espirito Santo walichotufanyia sio poa.
Kwahiyo ikachukua kombe gani?Hao uliowataja hawakuwa na uzoefu kwenye ukocha hivyo wapewe muda watafanya makubwa tu. Ole sio kocha aliyeshindwa mkuu, msimu ulioisha Manchester United wamekuwa washindi wa pili kwenye Europa league na pia amekuwa nafasi ya pili kwenye ligi kuu uingereza. Msimu huu kafanya comeback mbili matata sana vs vilareal na vs Atalanta. Ni basi imetokea watu wa Manchester United kutomkubale Ole
Ligi ya italy vs ligi ya norwayMnabet timu bila kuaangalia opponent kudadeki .....
Hiyo timu inaongoza league ,sio timu ya kinyonge Kama unavofikili ,Roma kala kichapo cha halali kabisa
Kwahiyo wakati anajenga timu halipwi mshahara?Anajenga timu mvumilieni tu mbona mnakuwa na moyo mwepesi hivyo? Ngoja amalize kujenga timu mtaona makombe yanayovyoongozana. Mjifunze kwa washabiki wa Arsenal walivyo wavumilivu
Kwenye ligi ni wa tano, na kafungwa na timu ambazo kila mara zinaifunga Roma. Jana alianza na kikosi kibovu huku akiweka bench wachezaji muhimu kwa ajili ya game ya Napoli.Nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mourinho mbinu zakee na mfumo wake umeshapitwa na wakati na kote anakotimuliwa huwa hawamuonei isipokuwa ni kweli hana uwezo wa kufundisha na kuongoza timu. Kwanzia ajiunge na timi ya Roma, ameshinda mechi tano tu za ligi na kupoteza mechi tatu katika mechi nane. Kwenye Europa league kashinda mechi mbili tu na jana kapokea kipigo cha mbwa mwizi cha magoli sita kutoka timu ya bodoe/ Glimt kutoka Norway.
Ni wakati sasa wa Mourinho kustafu ukocha maana hana uwezo wowote wa kufundisha timu