Kwa mujibu wa bein sport wenyewe wanasema kuna mtu ndani ya club ndio kawatonya but sio officialNi inside info,nilikuwa nacheki kipindi cha saturday club cha being sport,its a tip,tuvute subra usikanushe mkuu
Timing sio nzuri ukitazama leo ni final ya FA, wachezaji wanawekwa kwenye presha, hope monday wataconfirmKwa mujibu wa bein sport wenyewe wanasema kuna mtu ndani ya club ndio kawatonya but sio official
AS na A bola wamesema muda wowote baada ya FA cup final anaweza kutangazwa