TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Hahajaj labda aforce kwa nguvu sanaaaOlise ni untouchable.... wale bavarians hawawezi muuza by any cost, ni kama useme unataka kumnunua Lamine !
Yes...vini, jude au mbappe anatakiwa aondoke mmoja, then watakaobaki wawili mmoja ndo awe image ya club ... possibly mbappe !
Vinni hapendwi pale pia ni kirusi, mbappe anataka awe image ya club, June anajiona yeye ndio Madrid yenyewe! Inahuzunisha
Tatizo ni kuwa yule fala raisi amemng'ang'ania balaaa,Auze na mbape
Unastahili kumpa ushahuri mourinho.. umekadilia vizuri sana, najua haujatoa ushahuri juu ya kuuzwa mbape kwa kuwa ni pendekezo la rais wa madrid.. ila kwa ukweli kabsa mbape atafute pa kwenda bila ivyo timu hilo litakuwa ivyo ivyo
Mbappe kama ana ego basi zitakuwa ni off pitch lakini on ground jamaa huwa hanaga hizo mbanga.Hapo kwa Vinicious kuuzwa ndo kipengele chenyewe sasa.
Vinny ndo heartbeat ya Real Madrid.
Mbappe ndo anayestahili kuuzwa kwa sababu ya ego zake za kijinga.
Shida ya Madrid ni DM, playmaker na DEFENDERS.Uza vinicius, tchoumeni, rudiger
Nunua elliot anderson, nunua olise, nunua dimarco
Endrick arudi kutoka mkopo
Manstatuono aende mkopo
Alafu tengeneza hichi kikosi
4-2-3-1
GK: cortouis
RB: TAA
CB: Huijsen
CB: militao
LB: dimarco
CM: elliot anderson
CM: valverde
CAM: Bellingham
RW: olise
LW: mbappe
ST: endrick
Bench:
BEKI: ASensio
BEKI: Alvaro
WINGER: rodrigo
WINGER: Diaz
Kiungo: arda guller
Kiungo: camavinga
ST: Gonzalo