Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Wakati Mapema mwaka 2008, maafisa wa Barcelona, walimfanyia Interview Mourinho ili aifundishe Barcelona, aliwapa mpango wa ku mpandisha Guardiola kutoka kuwa kocha wa Barca B mpaka kuwa kocha msaidizi, wiki kadhaa baadaye Guardiola alitangazwa kuwa kocha mkuu wa Barcelona, ndio, Mourinho ndiye ali wafumbua macho maofisa hao kutoka Catalona. walihisi ni bora wampe kazi hiyo Pep hasa ukizingatia Mourinho hakuwa ana sifa za kutulia. Ukumbuke mwaka 2000 wakati Mourinho ana ondoka Barcelona kama mtafsiri wa makocha alisema anaipenda Barca na ata rudi siku moja.... Ki ufupi huo ndio ulikuwa mwanzo wa uadui wa makocha hawa mpaka sasa.
Nani zaidi!!?
Wakati data zinaonesha Mourinho kashinda mechi 3 tuu kati ya 16 na kafungwa magoli 28 kwa 18, hata umuamshe leo hawezi kukwambia Pep ni bora zaidi yake, lakini haya mimi pia kuna sehemu nachelea kusema Guardiola ndiye bora pamoja na rekodi nzuri.
Wakati Guardiola aliirthi barca iliyo kuwa imekwisha sukwa na mkongwe Johan Cruyff, japo na yeye alisajili na kuweka mafanikio yake hapo, alikanyagia mule mule alimo anzisha njia mkongwe Cruyff, ki ufupi ali ipata timu nzuri kwa kipindi hicho kuliko timu yoyote duniani, Morinho yeye alienda Inter Milan hata angefanyaje inter haikuwa na uzuri wa kuizidi Barcelona hata upange mchezaji mmoja mmoja hawa fanani, lakini alichukua karibu kila makombe aliyo shiriki, Pep mwaka 2013 akaenda Bayern Munich, ali ikuta imechukua kila kombe ililo shiriki zaid zaid yeye aliwapungizoa makombe kwani hakichukua klabu bingwa ulaya, kuhusu bundesliga hata si point kwani kwa Bayern hii, hata nikimpa Jamuhuri Kihwelu Julio, asingeshindwa kutwaa Bundesliga, ukizingatia kila mchezaji mzuri ujerumani wali nunua wao, hata hivi Pep kaondoka bado hakupendwa na wana Munich kwa ujumla. Mourinho pia ana haribiwa na rekodi yake ya Chelsea mwaka jana na ile ya Real madrid mwaka wa mwisho ambao hakutwaa kombe lolote.
Wakati ni kweli Pep kashinda mechi nyingi, ana makombe mengi ana data nzuri kumzidi Mourinho, Pep ana bahati ya kupata timu mbili nzuri zaidi katika maeneo aliyo kuwepo, Mourinho ni kocha mzuri ambaye mambo yakharibika ndio huitwa aka fufue timu, angalia Chelsea, angalia,inter angalia Madrid na hata sasa United, bado Mourinho ameweza ku survive, lakini wahenga walisema
*ni heri ukose sura nzuri kuliko kukosa bahati nzuri" tuonane kesho old trafford
*haya ni mawazo yangu tuu, nadhani kila mtu akichangia yake tutajua mengi zaidi