Mourinho vs Guardiola: Kocha Bora vs Kocha Mwenye Bahati

Ila pep ni football genious...kaweka combo nzuri zaidi baada ya kumuongeza na Bravo kwenye first eleven yake....flow, rhythim and confidence ya mpira inaanzia golini kwa Bravo anapoanza mpira kwa pasi murua iliyojaa confidence and discipline ya ushindi.

Pep hata akipewa Milambo au Lipuli bado zitang'aa tu kwa philosophy na tactics zake.

Hatari saana.
 
Kwa huyo Bravo wake Pep kachemka
 
TATIZO WA BONGO TUNAPENDA SANA MPIRA, ILA MPIRA HAUTUPENDI. "RADIO" NYINGI NA UJUAJI KUPITILIZA VITAZIDI KUTUPONZA.
 
Mkubwa umeongea point sana, huyo mtoa mada kaongea mashudu tu
 
Pogba hana thamani hiyo ni kweli ni mtumishi hewa, mechi ya nne sasa hana hata assist moja, huyo Bravo mechi na Man Utd kafanya makosa zaidi ya mawili ambayo yangeweza badili matokeo.
 
Yaaan una mjugde Bravo kwa mechi moja? Yaan watanzania bana... ufinyu wa mawazo. .. ni Yale Yale yakusema Pogba mfanyakaz hewa

Pogba hana thamani hiyo ni kweli ni mtumishi hewa, mechi ya nne sasa hana hata assist moja, huyo Bravo mechi na Man Utd kafanya makosa zaidi ya mawili ambayo yangeweza badili matokeo.
Bravo alikosea kweli juzi
Lakin si mbaya ni siku ya kwanza ilikuwa
 
Aisee...
Jamii Forums wangetengeneza option ya kufuta uzi ingesaidia watu wengi sana..!
 
Huu Uzi wa mwaka Jana hivi bado haijafahamika kati ya Pep na Mou na mkali? Kama imeshajulikana basi Uzi ufutwe au kuna mtu anabisha mpaka Leo?
 
Kama Guardiola mambo yalikuwa magumu kiasi Bayern Munich unadhani ni sahihi kufikiri kuwa kocha yoyote,hata Jamhuri Kiwelo, angeweza kuifundisha na kushinda?fikiria tena mkuu
 
Kama Guardiola mambo yalikuwa magumu kiasi Bayern Munich unadhani ni sahihi kufikiri kuwa kocha yoyote,hata Jamhuri Kiwelo, angeweza kuifundisha na kushinda?fikiria tena mkuu
Mourinyo ni kama kocha wa msimu tu. Hajawai fundisha timu yeyote ikacheza mpira wa maana zaidi ya kupaki basi. Hata miaka aliyokaa madrid ndio miaka ambayo cr7 alishindwa kabisa kupambana na mess kwenye uchezaji bora wa dunia. Cr7 alikuja kurudisha heshima baada ya mourinyo kuondoka. Mpira anaofundisha Pep unawafanya wachezaji waonekane bora. Hata Barcelona hii inayoonekana bora mda mrefu wachezaj kama Iniesta, Sergio, Mess pep alianza nao kwenye La Massia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…