Mourning til' we meet again Nate Dogg...we miss your Golden Voice Kaka

alifanya vizuri sana kwenye chorus ya all about you ya Tupac, area code ya Ludacris na 21 quiz ya 50 cent

rip
 
Dah huyu jamaa nilikua na project nae ila ndio hivyo haikufanikiwa lakini mpaka kesho ile ngoma ipo kwa Dr Dre simuoni wa kumshirikisha.
 
Yaani me na hip hop 2ko mbali ni km mbingu na dunia.... imenikalia kushoto kwakweli. hata nikiwa club msanii wa hip hop akipanda kwa jukwaa me mzuka unapotea kabisa. nakaa zangu kwa kiti na captain Morgan yangu kimyaaaa!!!!!
 
Dah huyu jamaa nilikua na project nae ila ndio hivyo haikufanikiwa lakini mpaka kesho ile ngoma ipo kwa Dr Dre simuoni wa kumshirikisha.

cheki na Matola, Barantanda, Mkirua au na Belo mmoja kati yao anaweza akasimama mbadala wa Nate Dogg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…