Mousa Dembele: Kiungo asiyepewa sifa zake EPL

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Wapenzi wa soka, huyu Mousa Dembele wa Spurs kawakosea nini? Mbona hapewi sifa zake anazostahili, jamaa anajua sana mpira ila cha kushangaza wanaosifiwa ni akina Pogba kila siku.

Dembele huwa anatawala dimba ipasavyo, na kuwapoteza viungo wa timu pinzani hata kwenye big match jamaa hufanya hivyo, ila kwa kuwa hachezi Man City, Chelsea au Man Utd ndio maana wanazi wa soka wanajifanya kama hawamuoni. Tumpeni sifa zake anazostahili.

Povu ruksa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…