Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mouse ya laptop yangu toka jana imegoma kufanya kazi natumia ile ya kawaida lakini kabla sijaipeleka kwa fundi naomba nisaidiwe huenda ikawa ni swala labda la setting
nimewahi kukutana na tatizo kama lako lkn ilikuwa ni virus na baada ya kuweka kerspesky ikatoa virus thn ikawa ok, advice;
azima mouse kwa jirani the jaribu kama nayo itagoma basi weka strong antvrs then make sure ipo up todate then fanya full system scanning.
Hivi sasa natumia mouse ya pembeni inafanya kazi na kuhusu aina ya laptop ni hp model siijui pia natumia avast antivirus