Hii ndio bongo! Wewe shinda juani unajifanya mkereketwa wenzako wana-make!
Vinega wenyewe hii issue hawaielewi, sembuse wewe!??lakin wadau kama macho na masikio yangu hayanidanganyi nimewakumsoma na kumsikia sugu kuwa mambo yote muhmu waliyokuwa wanafight yamezingatiwa,kama ni kwali kwanin tusiwape muda thn tujue tumeliwa au? kulalamka hakupunguzi mauizo
Vinega wenyewe hii issue hawaielewi, sembuse wewe!??
Unaweza kutetea kua Sugu kalipwa hela yake ya Dili la Malaria, but nami naweza kuja na wazo kua mradi wa Malaria ulishapita, alicholipwa Sugu ni Rushwa iliyosingiziwa Malaria.
vuteni subira,msikulupuke kuhukumu.watu walitumia akili ya ziada kufanya muafaka...mtajua tu kama ni maslai binafsi au ya mziki..
Sugu ni kichwa.
lakini mbona hajawashilikisha member wa kundi lake la vinega?
Kijeba sugu kawachoresha manigga!!!!
Kijeba sugu kawachoresha manigga!!!!
vuta subira mkuu,utaelewa kila kitu..kama unaipenda Vinega na muzik wa home utafurai mwenyewe,ila kama hauipendi unaweza ata kujinyonga.
acha izo Hemed.
sana tu kumbe alikua ana ishu zake huyu jamaa ameni disapoint sana
Hemed amekujaje hapo???kampigie kura kili music awards...!!!!sugu kaingia chaka!wakali kibao walikuwa wanamchora alikuwa anaungwa mkono na maboya wenzake wasiokowa na mvuto masikioni wala machoni!!!!
lakini mbona hajawashilikisha member wa kundi lake la vinega?
Ile ishu ilikuwa inashugulikiwa kibunge sio kiraia. Na kilichokuwa kinajadiliwa sio VINEGA bali ni Malalamiko Sugu aliyowasilisha Bungeni katika Bunge lililoisha. Sema aliyo lalamikia Bungeni ndo hayo Vinega waliyo kuwa wanalalamikia. Bahati nzuri yote yametekelezwa. Vinega wana sifa lakini sio za kuingilia shughuli za Bunge. wakumbuke Mwenzao Mbunge. alimshirikisha mwenyekiti wake Mbowe na akamkubalia asaini.
kwani atukujui!kukunyamazia si tulikuwa tunakuchora tu...
Eti kampigie kura!!si ukajipigie mwenyewe na ukoo wenu mnaofanana akili....ivi unadhani michongo iliyofanyika kukuingiza kwenye category wewe na wenzako msiokubalika tz atuijui!!au unataka tuchoreshane watu wajue?
pole ila kama wewe kinega hii suluhu chukulia kama ushindi ugenini!!sugu mwenyewe haamini kama wajanja wamemchukulia poa!clouds wangeamua kumkazia hali yake ingekuwa taabani!