Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania


Ukute umeandika haya kwa kutumia kompyuta ya mwajiri. Pole sana. Sisi tunaolalamikia mchakato tumekerwa na kuondolewa kipengele cha kutowawajibisha wabunge tunaowachagua. Nyie mnaotaka wabunge std 7 ndo mnaotaka kutuletea fujo.
 
Maneno hayatoshi kunahitajika vitendo, mengi yamesemwa ila hakuna reactions, watanzania ni waoga sana. nchi zte zilizo mwaga damu wana heshimiana sana lkn tanzania ni tofauti, nmepata bahati ya kufanya kazi kwenye barozi kama mbili za tanzania nje, nmeona watanzania wanavyoishi kwa uwoga, hii inatokana na maisha walio kulia. tuamke sasa. tuseme inatosha na tuanze vitendo
 
Hakika Mungu hata sauti za wenye haki ziendelee kupuuzwa na watawala walafi.Yeye atawatetea tu kupitia wajoli wake.
 
Hakika Mungu hataacha sauti za wenye haki ziendelee kupuuzwa na watawala walafi.Yeye atawatetea tu kupitia wajoli wake.
 
Mpumbavu hudhani katiba ni ya vyama vya siasa,hivi ni mawakala tu wakutetea maoni ya walo wengi.ccm si mbadala wa wtz
 


Copying and pasting!hujui ulichokiandika humu na wala haya sio mawazo yako mdio maana umecopy mambo kibao na kuyaachia hivyo hivyo bila kusoma eti uonekane mzalendo kumbe unajipoteza mwenyewe!taja issues be brief and specific unakaria kurukia rukia issues mpaka wewe mwenyewe unashindwa kuelewa umeanzia wapi jipange upya ili tukuelewe.
 
Mhe. Prof. Habari za siku muda wa kupendekeza vipengele au kubadilisha ulishaisha kwa taarifa yako. Kilichobaki sasa ni kura ya maoni ambayo njua kabisa msomi mwenzangu unaelewa nini maana ya kura ya maoni. Kwa hayo ya kwako pamoja na uzuri wake yasubiri sasa kipindi cha ammendments of the constitution.
 

Ukicheka ukilia yote kwako ni majibu,na hapa unavyoonekana hueleweki, upewe majibu gani kama ni mfuatiliaji wa taarifa mbalimbali za Serikali kupitia Bunge yate uliyoyataja sio mapya na yameshafanyiwa kazi na wabunge waliuliza kwa niaba yako, kama hujaelewa nini kilijili nenda kamuulize mbunge wako au humjui!!!!
 
Serikali ni wewe na mimi na wale uliowaweka madarakani wakuongoze. Hivyo unavyoilaumu serikali unajilaumu na wewe pia
 


hoja yako nimeisoma na ninakushukuru kwa kuandika mambo mengi, nimepitia vizuri nikaona umejaa lawama sana kuliko kutoa solution ya nini kifanyike?sasa ngoja nikusaidie, hizo serikali zote unazoziponda wewe ndizo zilizopata ridhaa kutoka kwa wananchi ili ziwaongoze na si vinginevyo, wangekuwa wamezichoka wasingeendelea kuzichagua ziwaongoze tena na tena.

Kama hupendi hali hii waambie watanzania wasiwachague!!!!
 
Dawa ya wasanii ni kipiga chini hii katiba pendeka kwa kuipa kuraya ''hapana''
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…