Movie 10 Bora za muda wote

gekaboy

Member
Joined
Nov 27, 2021
Posts
49
Reaction score
106
Hizi ndio movie kumi bora za muda wote azichoshi . Japo sijazipanga kwa mtiririko

1. Apocalypto ( jaguar) kuna wahuni walitupiga fix et ni Ronaldinho [emoji1][emoji1]
2.the lord of the rings
3.king Kong 2005
4.pirates of Caribbean zote
5.terminator : judgement day
6.ong-bak
7.rambo first blood
8.the gladiator
9.Ip man
10.commando (baba Jane)

NB kuna zingne zipo Kali ila sijaziweka kama unaona kuna movie haifai kuwa hapo kwny top 10 share mawazo kweny comments [emoji116] na utaje ipi tuiweke badala ya hizo
 
Kuna movie nyingi bora ila kwangu ni hizi za vita
1.Schindler's list
2.sometime in april
3.Hotel Rwanda nk
Hizi movie nikiwa napitia shida ama matatizo hua naziangalia na kujiona mm sina matatizo kuna watu wamepitia matatizo nabaki natokwa machozi na kujipa moyo nipambane.
 
Inaonekana unaangalia movie za daraja la chini sana[emoji854]
 
Kumi bora kwa mujibu wa nani?
 
Game of thrones, hii weka mbali na watoto, pia wageni wa heshima utaaibika.
Jumong
Lord of the rings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…