Movie gani imekubamba 2021

Aisee nimeshangaa kidogo kukuta hakuna ata mtu mmoja ameitaja Nobody kwenye list zenu, ila kwakuwa Kila mtu ana mtazamo wake hivo nitaheshimu mawazo ya wadau, anyway list yangu iko hivi

1.NOBODY
2.THE PROTEGE
3.KATE
 
kwangu mimi nobody hakuna kitu
 
Aisee nimeshangaa kidogo kukuta hakuna ata mtu mmoja ameitaja Nobody kwenye list zenu, ila kwakuwa Kila mtu ana mtazamo wake hivo nitaheshimu mawazo ya wadau, anyway list yangu iko hivi

1.NOBODY
2.THE PROTEGE
3.KATE
Hii nobody nmeitafta sana bila mafanikio msaada jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…