Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
The killer..Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile.
Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection kuangalia movie za zamani za kichina. Hizo ndiyo huangalia sana.
Ngoja niitafuteThe Exam
Niliicheki. Movie nzuri.๐๐ผ๐๐ผThe Exam
Sema nimegundua Youtube si mtandao unaokula bando kabisa. Kama unatumia voda movie moja hata MB 300 hazifiki. Tigo kidogo wanakula kwa kasi. Nao ndiyo wanacheza hapo kwa 300mbBila shaka unatumia fiber, bando la kuangalia youtube kwa quality ya kueleweka ni lazima uwe na udugu na ttcl.
Niliicheki. Movie nzuri.[emoji1360][emoji1360]