MOVIE: Idris Sultan ndani Netflix "Slay" - Usikose!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul).

Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu.
Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja jioni...

Hakuna kiingilio.

Nitakuwepo pia and I will comeback here for Review.

IMG_20210426_185440.jpg
 
Nimefika Tayari Little Theatre, ni Karibu kabisa na kanisa la St. Peters Oysterbay, baada ya Protea Hotel.

Watu wapo wakutosha, Nyama choma, vinywaji vya kila aina. Ni burudani kwa kweli.
Na kama kuna MwanaJf yeyote tunaweza chekiana hapa kwa stori mbili tatu.

Lakini mimi nitaongea zaidi kuhusu maswala ya utalii, particularly Mlima Kilimanjaro 🗻.
 
Niko kwa mbele hapa mkuu na pop koni za laki mbili pembeni
Enjoy Mkuu.
Naona mademu wa kisouth na mindunde yao.
Hii simulizi inafanana sana na zinazosimuliwa huku JF.
Kuna khumbu wa konda msafi huku.

Wanataja na majina tulio wahi kuyasikia huku jukwaani.
Lerato, Midrand, kupata permit etc
 
Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul).

Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu.
Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja jioni...

Hakuna kiingilio.

Nitakuwepo pia and I will comeback here for Review.

View attachment 1764972
Huyu jamaa sijwahi mkubali kwa utoto anaofanya na kuuita comedy eti na yeye anajikuta comedian 😢😢
 
Mkuu aise, hebu Njoo utoe na wewe maoni yako.
Hii picha imekaa njema sana, Naona wahusika wamekaa vizuri sana... full comedy, matusi ya hapa na pale.

Ila ni kazi nzuri sana iliyokaa kidigital, inazungumzia sana uhalisia Wa Maisha ya Sasa, haswa kwa vijana na matumizi ya Technology! Pretenders wa Mitandaoni hii itatoa funzo kwao.

Idris amefanya vizuri sana.
 
Hamna kitu mule sema kakulipa umpigie promo basi
 
Mkuu aise, hebu Njoo utoe na wewe maoni yako.
Hii picha imekaa njema sana, Naona wahusika wamekaa vizuri sana... full comedy, matusi ya hapa na pale.

Ila ni kazi nzuri sana iliyokaa kidigital, inazungumzia sana uhalisia Wa Maisha ya Sasa, haswa kwa vijana na matumizi ya Technology! Pretenders wa Mitandaoni hii itatoa funzo kwao.

Idris amefanya vizuri sana.
Vizuriii sana mkuu ngoja na mm niichek nije nitoe maonii yangu ila natumaini ni movie nzuriii
 
Back
Top Bottom