Niko kwa mbele hapa mkuu na pop koni za laki mbili pembeniKaribU Mkuu...
uko kwa wapi?
Enjoy Mkuu.Niko kwa mbele hapa mkuu na pop koni za laki mbili pembeni
Huyu jamaa sijwahi mkubali kwa utoto anaofanya na kuuita comedy eti na yeye anajikuta comedian 😢😢Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul).
Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu.
Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja jioni...
Hakuna kiingilio.
Nitakuwepo pia and I will comeback here for Review.
View attachment 1764972
Hamna kitu mule sema kakulipa umpigie promo basiMkuu aise, hebu Njoo utoe na wewe maoni yako.
Hii picha imekaa njema sana, Naona wahusika wamekaa vizuri sana... full comedy, matusi ya hapa na pale.
Ila ni kazi nzuri sana iliyokaa kidigital, inazungumzia sana uhalisia Wa Maisha ya Sasa, haswa kwa vijana na matumizi ya Technology! Pretenders wa Mitandaoni hii itatoa funzo kwao.
Idris amefanya vizuri sana.
Vizuriii sana mkuu ngoja na mm niichek nije nitoe maonii yangu ila natumaini ni movie nzuriiiMkuu aise, hebu Njoo utoe na wewe maoni yako.