Movie ipi ya 'Horror' kali zaidi?

Movie ipi ya 'Horror' kali zaidi?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Movie hizi mbili 'Wrong Turn' na 'Saw' zinaoneshwa katika vyumba viwili tofauti. Mpenzi wa 'Horror Movies' Utaingia wapi?
 
Habarini jamani natumai mu wazima,basi kama afya Yako haiko imara endelea kumomba mumgu maana uzima na afya viko mikononi mwake🙏🙏🙏🙏🙏

Kwa anayefahamu movies za kutisha kama île THE NUN au CONJURING anipe anisaidie majina ya izo movies maana napenda movies za kutisha (za ushetani na mumgu)
 
Sasa ili ufurahie hizo movies zako za conjuring na the nun Inabidi uziangalie Kwa mpangilio mana hizo movies ni series
Yani ni conjuring universe

1: The Conjuring (2013)
2: Annabelle (2014)
3: The Conjuring 2 (2016)
4: Annabelle: Creation (2017)
5: The Nun (2018)
6: The Curse of La Llorona (2019)
7: Annabelle Comes Home (2019)
8: The Conjuring: The Devil Made Me Do It (2021)
9: The Nun 2 (2023)


Halafu ya mwisho itakuwa

The Conjuring: Last Rites (2025)​

 
Habarini jamani natumai mu wazima,basi kama afya Yako haiko imara endelea kumomba mumgu maana uzima na afya viko mikononi mwake[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Kwa anayefahamu movies za kutisha kama île THE NUN au CONJURING anipe anisaidie majina ya izo movies maana napenda movies za kutisha (za ushetani na mumgu)
The animal
Dog soldiers
 
images (6).jpeg
 
Back
Top Bottom