Movie: Nobody

Movie: Nobody

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nimeipenda hii movie. Humu jamaa anaonekana kama mtu wa kawaida tu, familia na marafiki wanamchukulia poa. Kumbe alikuwa ni mbad na kaamua kutulia. Russian mafia walipoingilia familia yake waliuona mtiti.

Nobody_2021_Film_Poster (1).jpeg
 
Kuna mwanangu mmoja kaipa promo sana ebu ngoja niicheki
 
Nimeipenda hii movie. Humu jamaa anaonekana kama mtu wa kawaida tu, familia na marafiki wanamchukulia poa. Kumbe alikuwa ni mbad na kaamua kutulia. Russian mafia walipoingilia familia yake waliuona mtiti.

View attachment 1762365

Hii movie ni jamii ya john wick ni mikiki hakuna ujinga humo

Jamaa anagawa dozi kama hana akili nzuri ingawa unaweza sema ajui kupigana kama hakina ndugu zetu jai white jamaa anapiga kwa mahesabu

Na yule babaake sasa 😂😂😂 hili dude noma wanangu mkaicheki chapu

Alafu mmalizie na coming 2 america mfurahi na roho zenu 🤣🤣🤣🤣
 
Ila jamaa alikuwa pia na huruma.

Alimuokoa yule dogo kwenye basi kwa Tracheostomy kwa mrija alivyoshindwa kupumua.
Na hata pale alipokwenda kutafuta bracelet kwa wale vibaka, akakuta kichanga.... Ikabidi awateme
 
Hii movie ni jamii ya john wick ni mikiki hakuna ujinga humo

Jamaa anagawa dozi kama hana akili nzuri ingawa unaweza sema ajui kupigana kama hakina ndugu zetu jai white jamaa anapiga kwa mahesabu

Na yule babaake sasa 😂😂😂 hili dude noma wanangu mkaicheki chapu

Alafu mmalizie na coming 2 america mfurahi na roho zenu 🤣🤣🤣🤣
Tafuta na s.a.s rednotice
 
Nimeipasisha moja kwa moja

Bob Odenkirk ana zari sana...... baada ya kufanya vyema na kupendwa sana kwenye series ya Breaking Bad akicheza sehemu ndogo tu kama layer mjanja mjanja waandaaji wakaamua kutengeneza trilogy yake kwa kuonyesha alipotokea...... wakaja na series ya Better Call Soul, inakimbiza vibaya inasubiriwa final season yake

Sasa nilipo iona hii movie inasifiwa nikajua labda Bob atakua kaibeba tu sababu ya kupendwa kwake ila movie ni yakawaida

Nipoiangalia kwakweli kiujumla movie ni kali sana
 
Nilipenda pale sehem ya tattoo jamaa alipoingia wakamzarau ila kuna mzee akaona tattoo yake akajua hii ngoma nzito [emoji3][emoji3]alisepa bila hata kuwashtua wenzake tena akawafungia na mlango [emoji3]
 
Back
Top Bottom