na ile haikuishia hata gray son amekufa.............
nikakasirika hadi maana iliishia juu juu
Kweli ipo katika season 3,,,,,,,,,ndio nimedownload season 3 episode ya 22 nadhani ndio ya mwisho. Hizo za kununua mtaani wanaunganisha mtu unadhani ipo mbele kumbe wanaziungaunga....
jana nimewatch "Tyler Pery single moms club" uwiii ni nzuri sana
Its a movie u must watch.pia Noah" nayo iko njema sana
Hiyo Noah ndiyo namalizia kuidownload hapa............
iko poa sana... nije tuangalie wote lol
it will b my pleasure karibu sana , , , ,
hizi series ni moto wa kuotea mbali.
1. Tyrant hii imefikia epsode 1-8
2.Extant hii ipo 1-6
3. Dominion 1-7
kuna Gang related imefika epsd 12
hizi series ni moto wa kuotea mbali.
1. Tyrant hii imefikia epsode 1-8
2.Extant hii ipo 1-6
3. Dominion 1-7
Vipi ikoje hiyo?
Tyrant naicheki ni kali mno.... vipi hiyo extant inahusu nini???? Dominion ilinishinda too much imaginations.
tyrant nimeichek iko poa sana, nimependa stori yake its unique n interested. kila epsode inapoisha, u want to know what next. nimefika epsode ya 7. balsam anataka kugombea uraisi, jamal hawezi uongozi.
Tyrant naicheki ni kali mno.... vipi hiyo extant inahusu nini???? Dominion ilinishinda too much imaginations.
Extant ni wana sayansi waliokubuhu wanatengeneza humanic, sasa mke wa alipelekwa zero(space) akiwa kule kumbe lilikuwa tego akapewa mimba kisayansi akaja nayo huku duniani bilakujua
Balsam kanogewa, Jamal mwana haramu maana alivyo muua yule dingi ilikuwa balaa