Movie Reviews

Hivi umeifatilia Legend!?. Me niliishia jamaa alipojua mke wake ni secret Agent na jina lake sio lake!!.. Alikuja tambua jina lake halisi?, maana inaonekana muongo mpaka akasahau anaitwa nani yeye mwenyewe!.

Hahaha, Legend.
Nimefuatilia bwana , Mwishoni alikuja kugundua kwamba yeye Jina lake anaitwa Aleksey na alikuwa ni Jasusi wa KGB.
Kama unakumbuka alikuwa anapigwa viboko kule shule na yule Mwalimu wake moja hivi ni Muingereza ali defect akakimbilia Soviet Union ndiyo akawa anaendesha zile Programu. Ilifika kipindi Jamaa alidanganya sana bahati mbaya akingia kwenye mikono ya SVR ya Urusi wakamwambia kwamba wewe ni Jasusi wetu na faili lake toka utotoni wakamletea..!
 
Out kidogo mmeangalia series ya Missing ni ya zaman kidogo japo nayo iko bomba..
 
Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Vitu vingine havina hata mantik kwakweli..How come This..
 
Dah Niliishia season 1 tu hiyo series nikaona inakuaje tena star mwenyewe hajijui jina lake!..Ni kama ile Blindspot tu hahahahh
 
Simba?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ khaa nilitegemea labda Nyoka au kuna moja ya wanigeria inaitwa danger zone ina Mijusi mikubwa kama mamba yana meno kabisa dah yanameza watu si mchezo nilikuwa mdogo enzi hizo nilikuwa siweki miguu chini maana kwenye kochi au kitanda maana nilihisi kama mijusi ile ipo uvunguni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Duh Mungu alisusa?? Haahaaa itabidi niisake hiyo kumbe ina content nzito hivyo
 
Hadi leo huwezi nipeleka utalii mbugani hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh Mungu alisusa?? Haahaaa itabidi niisake hiyo kumbe ina content nzito hivyo
Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,
Basi akamtuma Michael akaja lakini akajificha huku huku akasema hawezi kufanya hivyo kwasababu anajua Mungu anawapenda sana Binadamu na ile ilikuwa ni test tu kumwona alivyo. Akatumwa Gabriel wee bwana wacha aje na Legions of heaven bwana...Sasa hapo kati Mungu akaondoka Mbinguni na Malaika wakawa hawajui wafanye nini tena...Wakamalizia hasira zote huku kwa wanadamu....Walifutilia dunia nzima mbali...!
 
Yaani mtu unaacha kupenda vitu kama hv unaenda kushabikia bia, huu ni ujinga kwa kweli.. Bora nisile lakini nichek muvi. Nishakua teja wa haya mambo sema usawa unakaba..
 
Hiyo itabidi niidownload usiku huu ina season ngapi so far???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…