Yani zote hizi nimezisikia sikia ila sikushawishika kujua zikoje.Ila kwa hisani ya u-partnership nipe wiki hii ntakua nimeziangalia zote!Ohhhhh nimekumbuka....Life as we know it niliona review and the making...tena nadhani nilipanga kuitafuta ila nikasahau!
I promise....Haya pumzisha hayo macho tusije tukashindwa kuhadithiana movie mwaka 2058!Tafuta Partner for i know we have the same test... you will not be disappointed...lol
I promise....Haya pumzisha hayo macho tusije tukashindwa kuhadithiana movie mwaka 2058!
Kweli hapa sio kwangu lol... Years ago wakati nikiwa teen nilipata bahati ya kwenda Fontana De Trevi (When In Rome) na nilitupa coin lakini mpaka leo bila bila lol!!It is wonderful.. katika list tafuta hii wadada wengi tunazipenda..
LIFE AS WE KNOW IT
THE ROMANTICS
OUT OF MY LEAGUE
WHEN IN ROME
DATE NIGHT
At least hizo for starters...lol
Kweli hapa sio kwangu lol... Years ago wakati nikiwa teen nilipata bahati ya kwenda Fontana De Trevi (When In Rome) na nilitupa coin lakini mpaka leo bila bila lol!!
the lincoln lawyer; kuna mtu kaiona hiyo movie, feedback? I like the actor - Matthew McConaughey..nimeona trailer tu
Hii movie naisubiria kwenye dvd, nakitafuta kitabu chake nikisome kabla ya kuangalia movie yenyewe.the lincoln lawyer; kuna mtu kaiona hiyo movie, feedback? I like the actor - Matthew McConaughey..nimeona trailer tu
To rain on your parade Fool's Gold na Ghosts of Girlfriends Past zilikuwa miyayusho sana -yawn-BJ Personally sijasikia hata hio trailer, but if it is McConaughey...it is a good movie...
To rain on your parade Fool's Gold na Ghosts of Girlfriends Past zilikuwa miyayusho sana -yawn-
Nimekukamata Eqlypz for it seems ni kwako pia...lol
You would not have reffered to the Fontana De Trevi for i
believe it triggered your child hood memory of the coin on the fountain..
Anyways naelewa why mpaka leo hujafanikiwa...lol
Wacha kuninanga..
Hii movie naisubiria kwenye dvd, nakitafuta kitabu chake nikisome kabla ya kuangalia movie yenyewe.
To rain on your parade Fool's Gold na Ghosts of Girlfriends Past zilikuwa miyayusho sana -yawn-
Got that 1, ts tight...the lincoln lawyer; kuna mtu kaiona hiyo movie, feedback? I like the actor - Matthew McConaughey..nimeona trailer tu
So kuna scene kwenye Transformers 3 which I suspect was filmed in Tanzania (well they used stock footage), ukiangalia vizuri hiyo part utaona mlima Kilimanjaro unaonekana kwenye background.
mmmh! i see you are still hooked with Transformers 3,
i believe it is high time you say everything you love about the movie...
I am logging out, but will definitely be back!!! Hopefully utakua ume fulfill request yangu..