MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mwisho kabisa inaonyesha wanamshawishi Polaris ajiunge nao kuunda kundi lingine la mutants ambao watapigana na Sentinel Services.The Gifted Niliishia wale mapacha wamewatenganisha yule dogo wa kiume na familia yake.. Vipi iliendelea!?..
Kwenye Animation Thanos alipigwa na Robot la Iron man alopewa zawadi na baba yake, linaitwa peace kama sijasahau!. Lakini Darkseid alimpiga hadi superman, pona yao ni kumrudisha kwenye portal yake ApokolipsIam with you on this
Cc: wick
Watu wanasema kua Aquaman wameiga BlackPantherYani kuona Shazam wamempa deal comedian nishaona DC wameshindwa hapo tuisubiri Aquaman na Cyborg tu!..
Ila Darkseid namkubali Thanos kwa ile njemba anakaa 🙂
Polaris ni yupi!??... hata scarlet witch/wanda marxmof nae ni mtoto wa Magneto!..Polaris ni mtoto wa Magneto, hivi unajua ??
si ndo hapo eti mbwa anapaa!!... Ila niliona hata hii skycrapper wanaiponda hivi..Ile anapaa kama kiruka njia? !! ila movie za mamonster huwa sizikubali sana. mpaka iwe na rate kubwa ndiyo nacheku.
hapana ni kama hotel transvania?.Sherlock ni kichwa sana...
Hivi Animation ya Castlevania umeiona mzee ???
Tafuta na hii ya EXTINCTION. synthetic people (robot) wakawatimua binadamu duniani, binadamu wakakimbilia Mars kujipanga!.. Inavyoanza dunia inavamiwa qatu wanakufa ovyo sasa kuna jamaa mmoja alikua anaota hayo. Kumbe wale aliens waliovamia ndio binadamu wamekuja claim earth yao!.. Jamaa anajificha na familia yake mwishoni ndio anakuja jijua kumbe wao ni robots.Mchanganyiko. family, monster, SciFi, action. ila imeuza sana na imefanya poa kwenye reviews.
Wale wanyama walikuwa na mchanganyiko wa DNA za wanyama kibao. So pengine ni DNA ya kiruka njia ndiyo ilimfanya apaesi ndo hapo eti mbwa anapaa!!... Ila niliona hata hii skycrapper wanaiponda hivi..
Halafu dwayne kaingia na series ana hii ya Ballers.
Labda watamleta yule black sasa!!... hivi unajua aliyeact Cable ndio Thanos pia.Xavier school of....
Wanakuja vizuri hawa watu tutegemee ushindani mkubwa..
But Green Lantern yeye harudi tena?
Maw akutane na Silver Surfer aone majigambo yake kama ataleta!..Ila wakuu Maw naye ni mtata. Alisumbua sana. Halafu anajisikia kishenzi
Hapana yenyewe ina kichapo sana na ni kwa ajili ya Adults.hapana ni kama hotel transvania?.
Polaris ni yupi!??... hata scarlet witch/wanda marxmof nae ni mtoto wa Magneto!..
Ndio nimelifahamu hilo leo. Na Ryan Raynold/Deadpool ndie alie act Green Lantern if you never know..Labda watamleta yule black sasa!!... hivi unajua aliyeact Cable ndio Thanos pia.
Wahindi sjui hawa aiseee nzuriKikorea hiyo au Kifilipino?🙂..
Ntaitafuta hii!..Hapana yenyewe ina kichapo sana na ni kwa ajili ya Adults.
Yeah ila si umeona wameifanyia reboot ina maana Green Lantern atakuwa tofauti tena, na Logan kisa chake kitabadirika sasa!!..Ndio nimelifahamu hilo leo. Na Ryan Raynold/Deadpool ndie alie act Green Lantern if you never know..