Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.
Missing nimeangalia season 1 ninayo kwenye DVD. Natafuta Season 2Kuna yeyote aliyengalia hizi series
Missing
Revenge
Season 2 haijatoka badoMissing nimeangalia season 1 ninayo kwenye DVD. Natafuta Season 2
kitabu chake kipo nikaona you tube movie yake inakuja and that was 2011 nikafikiri 2012 itakuwa tayari sasa naona kimya nisaidieni kama imeshatoka hii kitu naisuburi kwa hamu.
Im currently watching revenge, ila nimepewa season 1 tu. Inaonekana nzuri sana.
Ladies, kuna series ya ugly betty, ma ya modern family. Ni noma, kuweni waangalifu hata ndoa zitashake.
Revenge naipenda sana mamito..pia modern family yaani mbavu zangu hoi, I like Sofia Vergara's accent🙂)
Tu-brief kidogo inahusu nini?
Kuna yeyote aliyengalia hizi series
Missing
Revenge
Yap ipo season 3 nowrevenge hivi season 3 imeshatoka!!!!!!I like that series
Nimemaliza kuiangalia missing wiki kama mbili zilizo pitarevenge hivi season 3 imeshatoka!!!!!!I like that series
Nimemaliza kuiangalia missing wiki kama mbili zilizo pita
Ipo powa ila wamesema hawata iendeleza
Wakuu, hii movie ya 12 YEARS A SLAVE is a must watch!