Movie Scene Filamu ya Kitanzania


hee hujui kama joti kaigiza kishoga?
kumpangia mtu/mkeo nguo za kuvaa sio ishu kama mkeo ameridhia kuvaa hizo nguo,hapo nilimaanisha wale wanaume wachache conservative..(by the look of things wewe ni mmoja wao)...in the name of 'love/ndoa'...wanao'shurutisha' wake zao wavae hivi au vile..'kuwapelekesha' na kuwageuza watumwa wasio na maamuzi katika mambo,...
kama unaona una roho nyepesi muache mkeo nyumbani,wewe ndio ukatafute riziki...kuonyesha maziwa,sio ishu???wapo wanaoyafunika na ndio wanaotembea nje ya ndoa,,,,,,
hio ni kazi kama kazi nyengine,na mkeo akiwa kiwembe sio lazima awe muigizaji ndio atembee nje ya ndoa,anaweza kutafuta njia nyengine za kutafuta 'riziki' akawa daktari,nurse au mwalimu na bado akatembea nje ya ndoa...

msii-presurize ndoa ya watu ikavunjika kwa sababu ya maudhaifu yenu,kila mtu na choices zake in life,kama uliamua kwa sababu zako kumuuoa mwanamke mwalim,askari nk likewise mume wa irene alimuoa Irene akijua yeye ni muigizaji!:A S angry:
 
hapa wengine wamesema athumani kichwa wazi na selemani kichwa wazi

kwa nn isiwe Paulo kichwa wazi au Barnaba kichwa wazi ?
 
Watanzania inabidi tukomae hayo mambo wakifanya wazungu tunashabikia mbona scenes za kawaida je ukiona waoliwa kabisa utasemaje??
 

Elewa hivi: SIMFAHAMU HUYO DADA WA KWENYE PICHA, WALA MUMEWE SIMJUI! NAONGELEA HOJA TU, SI MAISHA BINAFSI YA WATU.
hA Ha ha ha! duh hii kali...! baba T is now conservative!!!...ila hainitii wasiwasi kwa sababu si mama T aliyesema hivyo!
Naona unabadili mada (sijaongelea umalaya) au umeshindwa kuelewa? Si mbaya sana, kuna watu wengine hawakujaaliwa kuelewa bila mifano! Mimi binafi naamini mwili (wa mume au mke) ni kama hekalu-si pa kufanyia mchezo wala maigizo hata kidogo. Kama wewe unaona sehem nyeti za mwili ndy sehemu ya kutafutia rizki basi tuko TOFAUTI SANA.:nono:
 
Tembea uone,ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni,huo ni mfano huwezi kubadili nyekundu kuwa njano
 
Watanzania inabidi tukomae hayo mambo wakifanya wazungu tunashabikia mbona scenes za kawaida je ukiona waoliwa kabisa utasemaje??
uMEOA??
Hakuna aliyesema scene hiyo ni ya ajabu ki hivyo, unaongelea mke, je ni nzuri kwa mke (mkeo) au mume kuigiza namna hiyo? Tukubali tu kwamba tuko Africa na ni waafrika! Kwa wengine kukaa na bikini ufukweni, mchanganyiko na wake si ajabu! Kwetu sisi kukaa na sketi mbele za wakwe bila kitenge ni TABOO!
 
Inkoskaz<!-- google_ad_section_end -->
Member

<HR><DL class=userinfo_extra><DT>Join Date</DT><DD>Sat Nov 2010</DD><DT>Posts</DT><DD>15</DD><DT>Thanks</DT><DD>0</DD><DD style="DISPLAY: inline; WHITE-SPACE: nowrap; FLOAT: right">Thanked 3 Times in 3 Posts</DD></DL><DL class=user_rep><DT>Rep Power</DT></DL>Inaonekana huyu ni member wa JF ameamua kubadilisha ID ili kuleta hii habari ya udaku wenye nia ya kumchafua huyo dada mbele ya jamii.
 
inaitwaje hii movie..? nafagilia sana kazi za kibongo
 

pole saaaana hilo la kuwa conservative naona limekugusa,hahahahahhaaaaaaaaaaaaaa..... na unavyoendelea kuchangia kny hii mada ndio unavyojionyesha jinsi ulivyo conservative...
mbona unaongelea kuhusu wewe binafsi kuuheshimu mwili wa mwanamke kama hekalu...kama hatuongelei umalaya hapa??? ebu uniambie ishu ni nini hasa inayojadiliwa ktk hii mada???..rejea michango humu ya watu utaona dada wa watu katupiwa lawama za umalaya,kama ishu then sio umalaya then tuambiane ishu ni nini and we will take it from there....!
kama ni mavazi,hayo ndiyo anayovaa kila siku irene sio mtu wa hijab useme amefanya jambo tofauti....so siwaelewi...:doh:

lastly,kama unaelewa binadamu tuko TOFAUTI...tuna mitazamo/hulka/hisia/tabia tofauti...hayo scene ya irene isingekusumbua,au msingekuja na mashauzi hapa hamtaruhusu wake zenu wafanye hivyo(indirect ni kumtupia lawama mume wa irene ambaye obviously ni understanding na yuko 'tofauti' na nyie....:doh::tape:
 


Afu anabisha sio conservative..haa haaaaaaaaa
 
Ndugu mbona unachekesha na hoja zako ku..ya any.. mbwa kuchamba uchambe wewe wapi na wapi?
 
Huo mkono wa kushoto wa mdada umeshika nini? Inahitaji moyo kuigiza hivi du!

umezuia mhemko, ila ni uhaba wa pose kwa mtayarishaji marudio ya eneo nguo na pose hakuweza kufikiri zaidi? au ndio kanyaga twende wabongo watanunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…