Waungwana wa jukwaa hili, salaam!!!
Hebu nijuzeni kitu kimoja!!!! Nina stories za kumwaga kwenye karabrasha zangu ambazo zinaweza kuwa filamu au tamthilia!!! What i need to know ni endapo kuna soko la scripts za movies au tamthilia hapa bongo!! Au jamaa wanajiandikia wenyewe?! anyone ambae anaweza kuwa interested, tuwasiliane