Flynn walter
Member
- Apr 1, 2020
- 26
- 18
Fafanua hapoo kiswahili kigumu ..3000 gharama ya hizo movies/series au gharama ya kupeleka hizo movie?!Kama mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa.
Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia tu kidogo, wewe tu nitajie list ya movie zote unazohitaji, mfano unahitaji series 5 zote zenye season kumi kumi zote usigope idadi ntazitafuta. Ntakuletea mpaka ulipo ndani ya dar es saaam kwa gharama ya 3000 tu Whatsapp
+255685068828 Tu
Hizi ni series pengine ungependa kuziona kama unatafuta series ya kuangalia ni series pendwa
- Fallout
- From
- Olive Kitteridge
- The severance
ni gharama ya movies/series unazohitaji na pamoja nakukuletea mpaka ulipoFafanua hapoo kiswahili kigumu ..3000 gharama ya hizo movies/series au gharama ya kupeleka hizo movie?!
Acha uongo huna movies utakua na malengo yako mengine,Mimi nimekucheki mara kadhaa lakini story kibaoni gharama ya movies/series unazohitaji na pamoja nakukuletea mpaka ulipo
Picha tafadhaliKama mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa.
Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia tu kidogo, wewe tu nitajie list ya movie zote unazohitaji, mfano unahitaji series 5 zote zenye season kumi kumi zote usigope idadi ntazitafuta. Ntakuletea mpaka ulipo ndani ya dar es saaam kwa gharama ya 3000 tu Whatsapp
+255685068828 Tu
Hizi ni series pengine ungependa kuziona kama unatafuta series ya kuangalia ni series pendwa
- Fallout
- From
- Olive Kitteridge
- The bear
- severance
Sana lo
Duh!Hey hey kumbe jamaa mwizi banaaaaa
Nilitaka kushangaa ujue kwa 3000 kweli seriously daaah..Duh!
Umeingizwa chaka , na tuma kwenye namba hii
Wako wengi sana humu