Movie: Soundtrack (theme song) ya movie unazozipenda

Movie: Soundtrack (theme song) ya movie unazozipenda

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari

Katika movie theme song nazozipendaga ni hizi

1. Jurrasic park theme song hii kwangu ni the best napenda kile kinanda sana

2. Robocopy (1994) hiyo nayo ni nzuri naipenda

3. Behind enermy line 1995s hii ile theme song yake naipenda hasa pale ile F16 inapopaa kwenye ile manowari

4. Prison brake hii mnaijua wengi wenu

5. Embu ongezeni mnazozipenda
 
Black hawk down pana ka wimbo katamu na nadhani hata aliyepita Mgambo akikasikiliza kanamuongezea ushujaa.
 
Nilimaanisha ule wimbo unsolia shilawadu ikianza.

Halafu kuna nyimbo mbili zipo kwenye Series ya Worrior Baek Dong su nazipenda sana..

Hii paragraph ya mwisho umeandik nini maana ata sijakuelewa au uliandika ukawa unakitupa bafuni alafu umesimamia kidole
 
Kuna sound track ipo kwenye movie A GIRL WITH A DRAGON TATTOO pale jamaa yupo kwenye room anateswa naipenda sana....

ule wimbo unaitwa SAIL AWAY
nikiwa nasafiri safari zangu lazma niweke niusikilize huu wimbo ni mzuri sana.

africa to Europe to Asia
Wimbo wa Enya, unapigwa pia na tbc wakati wa matangazo ya waliofariki. Unaitwa orinoco kama sikosei
 
Back
Top Bottom