Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Black hawk down pana ka wimbo katamu na nadhani hata aliyepita Mgambo akikasikiliza kanamuongezea ushujaa.Habari
Katika movie theme song nazozipendaga ni hizi
1. Jurrasic park theme song hii kwangu ni the best napenda kile kinanda sana
2. Robocopy (1994) hiyo nayo ni nzuri naipenda
3. Behind enermy line 1995s hii ile theme song yake naipenda hasa pale ile F16 inapopaa kwenye ile manowari
4. Prison brake hii mnaijua wengi wenu
5. Embu ongezeni mnazozipenda
Jumong_ kuna kawimbo flani hua kanalia Jumong akimkumbuka Sosoino nimekasahau jina..
Shilawadu_kutana kwisah ni ijumaa ni ijumaa tatu usiku...[\b]
Hii paragraph ya mwisho umeandik nini maana ata sijakuelewa au uliandika ukawa unakitupa bafuni alafu umesimamia kidole
Ile soundtrack ni hatari, mpaka nimeidownload kabisaKitu cha game of thrones.... ile sound track ukiisikia hata kama uko mbali lazima akili ikae sawa!!!
Wimbo wa Enya, unapigwa pia na tbc wakati wa matangazo ya waliofariki. Unaitwa orinoco kama sikoseiKuna sound track ipo kwenye movie A GIRL WITH A DRAGON TATTOO pale jamaa yupo kwenye room anateswa naipenda sana....
ule wimbo unaitwa SAIL AWAY
nikiwa nasafiri safari zangu lazma niweke niusikilize huu wimbo ni mzuri sana.
africa to Europe to Asia
exactlyWimbo wa Enya, unapigwa pia na tbc wakati wa matangazo ya waliofariki. Unaitwa orinoco kama sikosei