Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,718
- 1,481
Kuna sound track ipo kwenye movie A GIRL WITH A DRAGON TATTOO pale jamaa yupo kwenye room anateswa naipenda sana....
ule wimbo unaitwa SAIL AWAY
nikiwa nasafiri safari zangu lazma niweke niusikilize huu wimbo ni mzuri sana.
africa to Europe to Asia
Mojawapo wa muvie matata ninazozipenda. Composer wa hizo nyimbo naitwa erinio moriconne, na director ni serge leone hao wote wamefanya azi pamoja na Clint Estwood kwenye muvie za madaha ya kimagharibi. Mkuu kama ukiweza tafuta pia na for a few dollars more, na fistful of dolars hutojuta.Saw 1 hadi 8 ile theme sio ya dunia hii!hasa pale mwishoni anapokuwa anasema GAME OVER.
ingine the good the bad & ugly ingawa ya siku nyingi ile muvi lakini hadi kesho hakuna theme kali kama ile
Hizo zote nimezicheki,na ni muvi huwa nazirudia sana kuangaliaMojawapo wa muvie matata ninazozipenda. Composer wa hizo nyimbo naitwa erinio moriconne, na director ni serge leone hao wote wamefanya azi pamoja na Clint Estwood kwenye muvie za madaha ya kimagharibi. Mkuu kama ukiweza tafuta pia na for a few dollars more, na fistful of dolars hutojuta.
Kama unapenda nyimbo za Enya sikiliza A wild ChildWimbo wa Enya, unapigwa pia na tbc wakati wa matangazo ya waliofariki. Unaitwa orinoco kama sikosei
Mkuu kweli hii sound ni nzuri mbona kelele tupu ulishasikiliza ya vikings,terminator,into the badlands ikianza na season 2 yake episode 01 ikianza kwa kweli hata unaeangalia unafeel nguvu mwilini kichwa kukua sasa hizi nyingine baada ya msisimko unaona kama umefata nini duniani.Soundtrack nyingine matata ni ile ya sinema za James Bond. Mwanzoni kabisa huanza na tukio la kusisimua ambalo mara nyingi ndio huwa kisa mkasa cha sinema husika.
Halafu kinachofuata huwa.....
Weka hapa tuzisikie mkuuMkuu kweli hii sound ni nzuri mbona kelele tupu ulishasikiliza ya vikings,terminator,into the badlands ikianza na season 2 yake episode 01 ikianza kwa kweli hata unaeangalia unafeel nguvu mwilini kichwa kukua sasa hizi nyingine baada ya msisimko unaona kama umefata nini duniani.